APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 230,000/= X 6
Pg sm 0612155147
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE
DINNING
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA YANATOKA NDANI KAMA RUVU VILE
ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI SANA HASA HII NDIO IMEJITENGA YENYEWE PEMBENI KABISA
BEI NI 230,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM 3 TUU BAJAJI 1000 BODABODA 1500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Dalali Lincoln
nyumba za kupanga
Compare listings
Compare