MPYAA MPYAA APARTMENT NZURI SANA ZA KISASA KABISA
ZINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE 200K X 6/
ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.
CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
SEBURE KUBWA
CHOO KIZURI CHA NDANI, SIO MASTER
UMEME METER YAKE
MAJI DAWASA METER YAKE NA YANAFLOW NDANI
TILES
GIPSUM
SLIDE WINDOW
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM1.8
BAJAJI TSH 700
BODA. TSH1000
KUMBUKA” ”NYUMBA HIZI ZIPO KWENYE FENCE, LAKINI SIO FENCE YA KULAZA GARI, NA USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA
SERVICE CHARGE 15K
MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU 0789049684
Compare listings
Compare