APARTIMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #250k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom Sebule kubwa , Jiko na Public toilet ndani
Bei:250,000 kwa mwezi x 6
Ndani ya fence apartiments zipo mbili ,kila apartiment Inajitegemea umeme na Maji
Umbali KM 2.5 Usafiri wa bajaji upo
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
Nyumba ipo wazi kabisa luksa kulipia na kuhamia hata sasa
PIGA SIMU 0789049684
Compare listings
Compare