Apartment mpya kimara mwisho

  • Tsh250,000/Mo
Kimara Mwisho, Morogoro Road, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
For Rent
Apartment mpya kimara mwisho
Kimara Mwisho, Morogoro Road, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • Tsh250,000/Mo

Description

NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA

KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6

LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI

SIFA ZAKE

NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA

USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS NOA 500 UKISHUKA DK 2 UPO NDAN

INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HARAKA

SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA

CONTACT 0752 666643

  • City Dar es salaam
  • Area Ubungo
  • Country Tanzania

Details

Updated on April 28, 2025 at 2:13 pm
  • Property ID: MR22945
  • Price: Tsh250,000/Mo
  • Bedroom: 1
  • Bathroom: 1
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent
  • Sitting Room: 1
  • Kitchen: 1

Similar Listings

Compare listings

Compare
Farida Msumari
  • Farida Msumari