APARTMENT NZURI YA KIBACHELA
CHUMBA MASTER [SINGLE]
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
Pg sm 0612155147
KODI YAKE 100K X3/
ILIPWE LAKI MOJA KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.
SIFA ZAKE NI:
CHUMBA MASTER
TILES
GIPSAM
ALMINIUM
MAJI DAWASA METER YAKE
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME SUBMETER YAKE
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.5*
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1,500/=
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE, PARKING KUBWA USALAMA WAKUTOSHA
NOTE: CHUMBA HIKI SIO KIKUBWA
PIA HIZO FRAME HAPO NJE ZINAPANGISHWA, KODI YAKE 50K X3*
*KARIBUNI SAANA*
Compare listings
Compare