APARTMENT NZURI SANA KUBWA YA KIBACHELA
MASTER BEDROOM & JIKO
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE
KODI YAKE 200K X6
SIFA ZAKE NI:_
MASTER BEDROOM KUBWA
JIKO SAFI
HAKUNA SEBULE
TILES
GIPSAM
ALMINIUM
MAJI DAWASA METER YAKE
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME METER YAKE.
PARKING KUBWA
GARDEN SAFI
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI, BARA BARA YA ZEGE
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH500/=
BODA TSH1000/=
NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
HAPA ANATAKIWA MPANGAJI BACHELOR, NA AWE MKRISTO
KARIBUNI SAANA
0710614924
0688653940
Compare listings
Compare