APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
ZIMEBAKIA 2 TUU NDUGU MTEJA CHANGAMKA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA NA KABATI LAKE
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA
AIR CONDITION KOTE
HEATER
FREE Wi – Fi
GARDEN NZURI
ULINZI BURE MASAA 24
PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 400,000/= X 6
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NJIA ZOTE NI KARIBU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0710614924
0688653940
Compare listings
Compare