Ghorofa kali la kisasa linauzwa.Lipo SALASALA-DSM.
-Lina vyumba 4(1)master, lounge 2 CHINI na JUU, dining, kitchen, store & public toilet.
-Plot size ni 1400 meter square.
-Hati ni ya mauziano serikali ya mtaa (pameshapimwa tayari hati kutoka kwa jina la mnunuzi).
-Maji safi dawasco na umeme vyote vipo.
-Lipo mtaa mzuri sana uliojengeka na kupangika vyema (with good neighbourhood).
-Lipo mita 700 tu kutoka barabara ya Bagamoyo Road.
Bei yake 350mlTsh maongezi yapo.
Call 0787732373
Compare listings
Compare