Ghorofa kali la kisasa linauzwa. Lipo KIMARA KOROGWE-DSM
-Lina vyumba 5 vyote vikiwa ni SELF CONTAINED ROOMS ,lounge, dining, kitchen, store &public toilet.
-Ipo pia SERVANT QUARTER yenye vyumba 2 vyote vikiwa ni SELF CONTAINED ROOMS.
-Plot size ni 1300 meter square.
-Hati ni kutoka Wizara ya Ardhi (TITLE DEED).
-Maji safi dawasco na umeme vyote vipo.
-Lipo mtaa mzuri sana uliojengeka na kupangika vyema (with good neighbourhood).
Bei yake 680mlTsh maongezi yapo.
Call 0787732373
Compare listings
Compare