Stand alone, Nyumba inapangishwa sh milion 1 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 8-12 , Hii nyumba stand alone nyumba ya kujitegemea yenyewe ndani ya fence, ina vyumba 4 vyote master bedrooms, sebule kubwa, jiko lenye makabati, store, dining room, public toilet, 3 reserve water tank, parking kubwa, garden, fence, peving block, air-condition, feni, maji dawasa, distance dakika 2-3, Location tabata kinyerezi dar es salaam tanzania
Kwa maelezo zaidi
Calls/WhatsApp 0768682919
0653233641
0614900873
Service survey charge tsh 20000
Malipo ya dalali mwezi 1
Compare listings
Compare