Master na sebule jiko nje kimara stop over

  • Tsh250,000/Mo
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
For Rent
Master na sebule jiko nje kimara stop over
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • Tsh250,000/Mo

Description

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA

PIGA SIMU 0744 179108

LOCATION: KIMARA STOP OVER

UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-15 KWA MGUU

BODA 1000

KODI 250,000X6

NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA LA PEMBENI LA NJE

IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA

NYUMBA IPO BARABARA YA ZEGE

INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI YAKO PIA YANA FLOW NDANI

KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000

BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWADALALI

  • City Dar es salaam
  • Area Ubungo
  • Country Tanzania

Details

Updated on May 30, 2025 at 5:22 pm
  • Property ID: MR23530
  • Price: Tsh250,000/Mo
  • Bedroom: 1
  • Bathroom: 1
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent
  • Sitting Room: 1

Similar Listings

Compare listings

Compare
Farida Msumari
  • Farida Msumari