Nyumba kali ya kisasa inauzwa. Ipo GOBA CENTRE-DSM.
-Ina vyumba 4 vyote vikiwa ni SELF CONTAINED ROOMS, lounge, dining, kitchen, store & public toilet.
-Ipo pia SERVANT QUARTER yenye chumba 1 na public toilet kwa nje.
-Plot size ni 1023 meter square.
-Hati ni kutoka Wizara ya Ardhi (TITLE DEED).
-Maji safi dawasco na umeme vyote vipo.
-Nyumba ipo mtaa mzuri sana uliojengeka na kupangika vyema (with good neighbourhood).
.-Ipo km 1 kutoka Goba Road/Goba Centre.
Bei yake 470mlTsh maongezi yapo.
Call 0787732373
Compare listings
Compare