Nyumba kali ya kisasa inauzwa. Ipo KIBAHA VISIGA MADAFU-PWANI
-Ina vyumba 4(3) vikiwa ni SELF CONTAINED ROOMS, lounge, dining, study room, ironing room, kitchen, store & 2 public toilets.
-Plot size ni HEKARI MOJA NA NUSU (about 6000 meter square).
-Hati ni ya mauziano serikali ya mtaa (sales agreement document).
-Maji safi dawasco na umeme vyote vipo.
-Kipo pia kisima cha maji cha kisasa kabisa.
-Yapo mabwawa ya kisasa ya kufugia samaki.
-Panafaa sana kwa makazi na panawafaa zaidi wafugaji.
-Ipo mtaa mzuri sana uliojengeka na kupangika vyema (with good neighbourhood).
-Ipo km 3 kutoka Morogoro Road/Madafu Stendi.
Bei yake 110mlTsh maongezi kidogo yapo.
Call 0787732373
*Note that:Service charge ya 30k kupelekwa site kuona itahusika.
Compare listings
Compare