Nyumba vyumba 2 ya kupanga Kimara mwisho

  • Tsh300,000/Mo
Kimara Mwisho, Morogoro Road, Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
For Rent
Nyumba vyumba 2 ya kupanga Kimara mwisho
Kimara Mwisho, Morogoro Road, Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • Tsh300,000/Mo

Description

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA

SIFA YA NYUMBA

hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana

KODI YA PANGO

Kodi kwa mwezi ni laki tatu tuu/=

Bei 300×6

KUONA ELF 15

UKILIPIA MWZ 1 DALALI

0710614924

0688653940

  • City Dar es salaam
  • Area Ubungo
  • Country Tanzania

Details

Updated on February 27, 2025 at 1:35 pm
  • Property ID: MR21643
  • Price: Tsh300,000/Mo
  • Bedrooms: 2
  • Bathroom: 1
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent
  • Sitting Room: 1
  • Kitchen: 1

Similar Listings

Compare listings

Compare
Daniel Lokamacheki
  • Daniel Lokamacheki