Nyumba inauzwa Tuangoma, Kigamboni
Distance* Nyumba ipo mita 70 tu kutoka barabarani kubwa
Nyumba ina vyumba v4 vya kulala vyote master bedrooms, sitting room, dining room, kitchen, public toilet na servant Quarter.
Pia nyumba ina frame za biashara kwa nje.
Plot size Sqm 780
Document: Title Deed
Bei shilingi milioni 350 maongezi yapo*
0615104340
Compare listings
Compare