Umbali kutoka stand km 1.5.
Vyumba viwili vya kulala kimoja master. Sebule kubwa, jiko zuri, public toilet iko ndani. Nyumba iko ndani ya fence, parking kubwa uwanjani paving blocks. Inajitegemea umeme na maji.
Kodi 300000 x miezi 6
Kuona 15000 malipo ya dalali kodi ya mwezi mmoja
Simu 0789049684
Compare listings
Compare