🏘️APARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥KODI YAKE 150K X6
#MASTER BEDROOM
#SEBURE SAFI
#JIKO SAFI
#UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER WANASHARE W2 NA YANAFLO NDANI.
#TILES
#GIPSUM
#SLIDE WINDOW
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 1,000/=
PIKI PIKI TSH 1,500/=
SERVICE CHARGE 15K.
NA UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA..
❌NYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA, NA BAADA YA KUFANYIWA MALIPO ITAPIGWA RANGI NDANI ❌
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA 📌
cont 0712512490
0753532490
whatsaap
https://chat.whatsapp.com/F6C3KMVJwIPAGMZMyQHTyD
Compare listings
Compare