APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 300,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA PUBLIC TOILET YA NDANI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT TATU NA HII MOJA NDO INA KUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30/12/2024
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
UMBALI TOKA KIMARA SUKA NI KM 1 TU AU KWA MGUU NI DAKIKA 15
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU 0789049684
Compare listings
Compare