APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO KWAMSUGURI
Pg sm 0612155147
BEI NI 200,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIZURI MASTER KIKUBWA
#SEBULE NZURI KUBWA
#JIKO zuri ndani
#LUKU INAJITEGEMEA
#PARKING IPO
#MAJI DAWASA YAPO MASAA 24
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Compare listings
Compare