Master bedroom for rent Kimara Korogwe

  • Tsh140,000/Mo
Kimara Korogwe, Morogoro Road, Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
For Rent
Master bedroom for rent Kimara Korogwe
Kimara Korogwe, Morogoro Road, Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • Tsh140,000/Mo

Description

APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 140,000/= X 6

CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA

#HAKUNA SEBULE

#HAKUNA JIKO

#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24

#LUKU WANASHEA FAMILIA 2

#PARKING

BEI NI 140,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII YA KIBACHELA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA APARTMENT HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

PIGA SIMU 0689049684

  • City Dar es salaam
  • Area Ubungo
  • Country Tanzania

Details

Updated on January 16, 2025 at 2:14 pm
  • Property ID: MR19471
  • Price: Tsh140,000/Mo
  • Bedroom: 1
  • Bathroom: 1
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent
google.com, pub-9786924523678740, DIRECT, f08c47fec0942fa0

Similar Listings

Compare listings

Compare
Dalali Kaka
  • Dalali Kaka