HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
CHUMBA NA SEBULE VIZURI
CHOO NA BAFU MNATUMIA 2 TU VISAFI SANA MAZINGIRA MAZURI SANA NO USWAZI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI NA BAFUNI
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 12-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
BEI NI 140,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Call me 📞 0612155147#0755793247
Compare listings
Compare