Apartment inapangishwa Kibanda cha mkaa Mbezi

  • Tsh250,000/Mo
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • MR18076
  • Property ID
  • Apartment
  • Property Type
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 1
  • Bedroom
  • 2
  • Bathrooms
For Rent
Apartment inapangishwa Kibanda cha mkaa Mbezi
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • Tsh250,000/Mo

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6

 

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

 

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA

#SEBULE KUBWA

#JIKO KUBWA

#PUBLIC TOILET

#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

#PARKING KUBWA

 

BEI NI 250,000/= X 6

 

💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA

 

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

 

PIGA SIMU 0789049684

  • City Dar es salaam
  • Area Ubungo
  • Country Tanzania

Details

Updated on December 22, 2024 at 11:44 am
  • Property ID: MR18076
  • Price: Tsh250,000/Mo
  • Bedroom: 1
  • Bathrooms: 2
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent
  • Sitting Room: 1
  • Kitchen: 1

Schedule a Tour

Your information

Similar Listings

Compare listings

Compare
Dalali Kaka
  • Dalali Kaka