Apartment kali mbezi kwa msuguri
- Tsh150,000
Apartment kali mbezi kwa msuguri
- Tsh150,000
Description
PUNGUZO LA BEI SASA LIMEKUBALIWA
PG SM 0744 179108
PG SM 0752 666643
APARTMENT NZURI ZAKISASA INAPANGISHWA BEI NI A)150,000/= X 4
B)100,000/=×6
MPYA MPYA MPYA !!!!!!!!
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO( A)
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
LUKU MATUMIZI YAKO NA MITA YA MAJI DAWASA BILL
PARKING IPO
KODI 150 ×4
KWA JUUU
(B)CHUMBA MASTER KUBWA NA JIKO , KWA CHINI
KODI 100,000×6
NB: MADIRISHA YANAWEKWA NYAVU. APARTMENT HIZI ZIPO KWAMSUGURI KULIA KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 NA NJIA NI RAFIKI ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on November 13, 2025 at 9:53 am- Property ID MR24594
- Price Tsh150,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1

