APARTMENT NZULI INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
Pg sm 0612155147
SIFA ZAKE
#INAVYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO AKUNA❌ KUNA KIBARAZA CHAKO CHA KUPIKIA NJEEE
# CHOO CHA NDANI
#UMEME UNAJITEGEA
#MAJI MUNASHEA BIRI 2
# NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 200X6 ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1
USAFILI UPO
BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 3 UMFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UAMRIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Compare listings
Compare