Chumba kikubwa kimara korogwe
- Tsh120,000
Chumba kikubwa kimara korogwe
- Tsh120,000
Description
APARTMENT #INAPANGISHWA
Kimara Korogwe
Umbali: Dakika 10–12 kwa mguu kutoka stand ya Mwendokasi, au bodaboda Tsh 1,000 mpaka getini.
SIFA ZAKE
Chumba kimoja kikubwa, kizuri sana
Choo mnashare wawili tu (ndani)
Umeme Sub-Meter
Maji yanapatikana hadi chooni
Fenced & Parking kubwa ya gari
Hakuna Uswahilini — mazingira mazuri sana na tulivu Chumba kitakuwa wazi tarehe 30/01/2026.
Karibu kuja kuona na kufanya malipo muda wote unakaribishwa.
GHARAM
Kodi: Tsh 120,000/= × 6 (Miezi sita)
Malipo ya dalali: Tsh 120,000/=
Service charge: Tsh 20,000/=
Piga_simu. 0744 17910
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on January 27, 2026 at 11:39 am- Property ID MR27259
- Price Tsh120,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent

