Kiwanja kizuri sana kinauzwa. Kipo MBEZI MWISHO CENTRE-DSM.
-Kina ukubwa wa 2700 meter square.
-Hati yake ni ya mauziano ya serikali ya mtaa (sales agreement).
-Maji dawasco na umeme vyote vipo kwenye kiwanja/eneo.
-Kinafaa kwa matumizi ya: MAKAZI,APARTMENTS,HOTEL,LODGE & YARD.
NOTE THAT: Kipo mita 850 tu kutoka lami ya Morogoro Road/Mbezi Mwisho Centre.
Ni kiwanja kizuri sana kimkakati.
Bei yake 180mlTsh maongezi yapo.
Call 0787732373.
Compare listings
Compare