Master kubwa sana kimara mwisho
- Tsh100,000
Master kubwa sana kimara mwisho
- Tsh100,000
Description
( 100,000 x 6 ) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER KUBWA SANA INAPANGISHWA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA ( 2 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA NA CHOO CHA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME ( FREE MIEZI YOTE )
MAJI DAWASA YANAFLOW
NDANI YA FENSI PARKING SPEACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT 0752 666643
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on July 21, 2025 at 10:19 am- Property ID MR23615
- Price Tsh100,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent