• 24868
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom
Master sebule jiko kimara temboni
  • Tsh160,000

Description

APARTMENT NZURI SANA

NDANI YA FENCE

INAPANGISHWA

KIMARA TEMBONI

KODI YAKE 160K X 4

MASTER BEDROOM

SEBULE SAFI

IKO SAFI

UMEME METER YAKE

MAJI DAWASA METER YAKE NA YANAFLOW NDANI

TILES

GIPSUM

SLIDE WINDOW

FULL PAVING BLOCKS

APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.

UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2

BAJAJI TSH 700/=

BODA. TSH1000/=

KUMBUKA” ”NYUMBA HIZI ZIPO KWENYE FENCE , NA USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA

SERVICE CHARGE 15K

Read More

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on November 19, 2025 at 8:55 am
  • Property ID MR24868
  • Price Tsh160,000
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1

Similar Listings