Master sebule na jiko kimara temboni
- Tsh230,000
Master sebule na jiko kimara temboni
- Tsh230,000
Description
230K X6 INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
NIMEISHUSHA BEI NJOO TUMALIZE CHAP
UMBALI KUTOKA BARABARANI KM 1.3
NYUMBA IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI NI TZ’S 500 BODA 1000 MPAKA KWENYE NYUMBA
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTA SEBULE KUBWA YAKUJIACHIA JIKO ZURI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING
YA KUTOSHA
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI ²⁴/7
NYUMBA IPO WAZI TAYARI
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
CONT 0744 179108
CONT 0752 666643
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on November 13, 2025 at 10:00 am- Property ID MR24603
- Price Tsh230,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1

