Nyumba inauzwa. Ipo KILUVYA MPAKANI-DSM. Ina vyumba 3(1)master,lounge,dining,kitchen & public toilet. Eneo ni 750 meter square,eneo la kutosha. Hati ni za mauziano na limeshapimwa hati kutoka kwa jina la mnunuzi. Maji na umeme vyote vipo. Ipo katika barabara kuu ya mtaa. Ipo mtaa mzuri sana uliojengeka vyema na majirani waliopangika vizuri(with good neighbourhood). Ipo km 1 kutoka lami ya Morogoro Road.Bei yake 65mlTsh maongezi yapo. Call 0787732373.
Compare listings
Compare