Nyumba inauzwa Mbezi Msakuzi kilometer 2 kutoka mbezi mwisho ambapo gari inafika mapaka mlangoni inasifa zifuatazo
Eneo lake linaukubwa wa 22 kwa 21 Sqm 462
Inaroom 4 viwili master ina private sitting room ina dinning,public sitting room,jiko na public toilet
Nje inavyumba viwili vikubwa vya kuishi pamoja na kisima cha maji eneo kubwa parking kubwa ya magari
Umiliki hati ya serikali ya mtaa
Bei milioni 60
Njoo ujione wewe mwenyewe ukiridhika ufanye maamuzi sasa maisha ni nyumba
Service charge elfu 20 tu
Piga namba 0689530463,0778079319
Compare listings
Compare