APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO BARABARA YA MALAMBA
SIFA ZAKE
# INAVYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTER
# SEBULE
# JIKO KUBWA
#DINNING
# PUBLIC TOILET NDANI
# UMEME NA MAJI UNAJITENGEMEA
# NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 250×6
NYUMBA IPO MBEZI MWISHO UELEKEO WA MALAMBA BAJAJ 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 6
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 6 UMEFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU 0789049684
Compare listings
Compare