Magole Primary School, Kibeberu Road, Mzinga, Dar es-Salaam, Coastal Zone, 17503, Tanzania, Ilala, Dar es salaam, Tanzania
Tsh40,000,000
Description
nyumba inauzwa kitunda magole wilaya ya ilala dsm nyumba ina vyumba 4 chumba kimoja masta sebule sehem ya kulia chakula choo public ina sqm 800 maji umeme inauzwa ml 40 tu nicheki whatsap 0741303503