Nyumba kali ya kisasa inauzwa. Ipo BUNJU BEACH MOGA-DSM.
-Ina vyumba 3(1) master,lounge,dining,kitchen,store & public toilet.
-Eneo ni 678 meter square.
-Hati ni ya wizara ya ardhi ( TITLE DEED).
-Maji dawasco na umeme vyote vipo.
-Ni nyumba ya kishua kwelikweli iliyopo ndani ya mtaa wa kishua uliopangika na kujengeka vyema.
-Ipo mita 900 tu kutoka lami ya barabara kuu ya MOGA -MBWENI MPIJI ROAD.
Bei yake 350 mlTsh maongezi yapo.
Call 0787732373.
Compare listings
Compare