MASTER BEDROOM NA JIKO INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
chumba master bedroom kubwa na jiko
Bei:100,000 kwa mwezi x 6
Kila apartiment Inajitegemea umeme(Submeter wawili)na Maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
Ndani ya fence parking ipo kubwa
Umbali KM 1.3 Kutoka kituoni Usafiri bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0710614924/0688653940
Compare listings
Compare