• 21070
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom

Master mpya inapangishwa kimara suka Dsm

  • Tsh120,000/Mo

Description

HAYA HII WAHI SASA CHUMBA MASTER SAFI KABISA NZURI MNO IMEKALIWA MARA MOJA TU NI MPYAAAA KABISA

Pg sm 0612155147

ITAKUWA WAZI TAR 20 /11/2024

LOCATION KIMARA SUKA

UMBALI NI KM 1,2

BAJAJI 700

BODA 1000

KODI 120,000X3

KIPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA SAFI KABISA

TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO

FENI SAFI MAJI YANAFLOOR NDANI

(BACHELOR ROOM)

KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000

N:B USISAHAU PESA YA TAADHALI 50000

NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

Dalali Lincoln

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on February 11, 2025 at 10:51 pm
  • Property ID MR21070
  • Price Tsh120,000/Mo
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent

Similar Listings