Apartment ya kupanga Kimara Temboni Dar es salaam

  • Tsh200,000/Mo
Kanisa La Kilutheri - Usharika Wa Temboni, Morogoro Road, Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
For Rent
Apartment ya kupanga Kimara Temboni Dar es salaam
Kanisa La Kilutheri - Usharika Wa Temboni, Morogoro Road, Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • Tsh200,000/Mo

Description

APARTMENTS NZURI SANA ZA KISASA MPYAA.. ZINAPANGISHWA

KIMARA TEMBONI

SUMU ZIITE JAMANI 📞0612155147

ZITAKUA TAYARI KWA HUHAMIA

KUANZIA TAREHE 15/03/2025 KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA.

APARTMENT’S ZIPO AINA 3 TOFAUTI

No: [1]

MASTER BEDROOM KUBWA

SEBULE KUBWA

DINNING

JIKO KUBWA LIMEFUNGWA MAKABATI

PUBLIC TOILET

LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

FENI ZIMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBANI

HITER MAJI MOTO

PAVING BLOCKS

PARKING KUBWA

KODI YAKE 350K X6

 

No: [2]

MASTER BEDROOM KUBWA

SEBULE KUBWA

JIKO SAFI NA MAKABATI

HITER MAJI MOTO

GARDEN NZURI SANA INAENDELEA KUOTESHWA HAPA

KODI YAKE 300K X6

No: [3]

MASTER BEDROOM KUBWA

JIKO KUBWA YENYE MAKABATI

NOTE:: HAKUNA SEBULE HAPA

KODI YAKE 200K X6

APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI.

UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.

SERVICE CHARGE 15K.

KWA KILA NYUMBA UKIIPENDA, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA.

KARIBUNI SAANA

  • City Dar es salaam
  • Area Ubungo
  • Country Tanzania

Details

Updated on February 20, 2025 at 1:41 pm
  • Property ID: MR21468
  • Price: Tsh200,000/Mo
  • Bedroom: 1
  • Bathroom: 1
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent
  • Kitchen: 1
google.com, pub-9786924523678740, DIRECT, f08c47fec0942fa0

Similar Listings

Compare listings

Compare
Dalali Lincoln
  • Dalali Lincoln