APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
HEATER
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING KUBWA
BEI NI 250,000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI NJIA YA KUELEKEA MAKABE KUPITIA MADUKANI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU 0789049684
Compare listings
Compare