Master na jioo Kimara korogwe
- Tsh150,000/Mo
Master na jioo Kimara korogwe
- Tsh150,000/Mo
Description
150K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.2
CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA NA JIKO LAKE ZURI NA KUBWA
TYRIES JIPSUM MADIRISHA WAVU MAKUBWA YENYE HEWA SAFI
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NYUNBA BADO MPYA NA INAPIGWA RANGI NJE NA NDANI
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE NA PARKING SPACE KUBWA
NB:
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 02_03_2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
KUJA KUONA NA KULIPIABNI NI RUKSA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
CONT
0710614924
0688653940
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on February 28, 2025 at 11:28 am- Property ID MR21681
- Price Tsh150,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Kitchen 1