Chumba master kinapangishwa Kimara mwisho
- Tsh100,000/Mo
Chumba master kinapangishwa Kimara mwisho
- Tsh100,000/Mo
Description
(100000×3) KIMARA MWISHO APARTMENT NZURI USALAMA KAMA IKULU
- ITA KUWA WAZI TAREHE 25 KUONA NA KULIPIA RUKSA ZIPO (4) COMPOUND MOJA
UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KIMARA MWENDOKAS
BAJAJI 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
NI CHUMBA MASTER INA TILES GPSUM MADILISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI
UMEME SABUMITA
MAJI YANA FLOW
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15000/=
NA BILA KUSAHAU PESA YA DALALI YA MWEZI MMJO
Call me 0612155147#0755793247
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on March 3, 2025 at 3:24 pm- Property ID MR21792
- Price Tsh100,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent