Nyumba ya kisasa ya Kupanga kimara korogwe
- Tsh250,000/Mo
Nyumba ya kisasa ya Kupanga kimara korogwe
- Tsh250,000/Mo
Description
NMESHUSHA BEI KIDOGO KUTOKA 300K MPAKA 250K X6
NYUMBA MPYA MPYAA KABISA INATAZAMA LAMI INAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENCE INAJENGWA FULL PEVING BLOCK ZINAWEKWA
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA INAJITEGEMEA PIA YANAFLOW NDANI SIRI YA HII MABOSS WETU KUNA KISIMA PIA MAJI MASAA 24🚰
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA
PIGA SIMU 0789049684
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on March 5, 2025 at 11:49 am- Property ID MR21836
- Price Tsh250,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1