• 22239
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 2
  • Bedrooms
  • 1
  • Bathroom

Apartment kali kimara suka ya vyumba 2 sebule na jiko

  • Tsh350,000/Mo

Description

NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI 350K

UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM1 KUTEMBEA KWA MIGUU DKK 17

ZIPO APARTMENTS 2 TU KWENYE COMPOUND MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA ZURI

TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA

UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI

CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA

SERVICE CHARGE NI TZ’S 15K

CONT 0713459079

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on March 19, 2025 at 11:56 am
  • Property ID MR22239
  • Price Tsh350,000/Mo
  • Bedrooms 2
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1

Similar Listings