• 23132
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom

Chumba master sebule na jiko kwa msuguri

  • Tsh200,000/Mo

Description

  1. HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU BEBA PESA USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA

CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI

UMEME UNAJITEGEMEA MAJI DAWASKO YANAFLOW CHOONI NA JIKONI

USICHOKIJUWA KUNA LISEVU TANK

Bei:200,000 Kwa mwezi X3

AU 180,000X6

Umbali km 2 Usafiri bajaji zipo 700 Pik pik 1000

Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena

TUPIGIE SM 0752 666643

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on May 5, 2025 at 11:53 am
  • Property ID MR23132
  • Price Tsh200,000/Mo
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1

Similar Listings