Nyumba nzima inapangishwa kimara mwisho
- Tsh400,000/Mo
Nyumba nzima inapangishwa kimara mwisho
- Tsh400,000/Mo
Description
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
KODI 400,000X6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA
VYOTE NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SANA
NA TANK LA MAJI LITA 3000
IPO KWENYE FENSI KUBWA PACKING KUBWA MTAA WA KISHUA
UMBALI KM 3.5
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
USAFILI BAJAJI 1000
DALADALA 700
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU 0789049684
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on May 5, 2025 at 12:30 pm- Property ID MR23155
- Price Tsh400,000/Mo
- Bedrooms 3
- Bathrooms 4
- Property Type Single Family Home
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1