Master kubwa sana na jiko kimara suka
- Tsh175,000/Mo
Master kubwa sana na jiko kimara suka
- Tsh175,000/Mo
Description
APARTMENT FOR RENT BEI NI 175,000X6
APARTMENT
HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
JIKO FULL MAKABATI
PUBLIC TOILET
KILA APARTMENT LINA DISHI LAKE DSTV
GARDEN
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING KUBWA
BEI NI 175, 000/= X 6 NINZULI SANA KIKUKWA BALAHA
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 TUU..USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI 1 WAHII
PIGA SIMU 0789049684
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on May 8, 2025 at 1:48 pm- Property ID MR23299
- Price Tsh175,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Kitchen 1