Chumba na sebule kimara suka
- Tsh60,000
Description
CHUMBA SEBLE INAPANGISHWA – KIMARA SUKA
Unahitaji nyumba yenye nafasi na uhuru wako?
Chumba + Sebule + inapatikana sasa!
Location: Kimara Suka – umbali wa km 1.5 kutoka barabara kuu sio mbali karbu tu
Kodi: Tsh 60,000 kwa mwezi
chumba seble kubwa balaa
Kibaraza nje
Umeme
Maji yapo muda wote
Gharama ya kuona: TZS 15,000
Piga: 0659244543
Simu inapatikana saa 2 asubuhi hadi saa 5 usiku
Eneo tulivu, mazingira safi, nyumba nzuri ya kisasa.
Usikose nafasi hii!
Address
- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on August 4, 2025 at 7:57 pm- Property ID MR23848
- Price Tsh60,000
- Bedroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1