• 23952
  • Property ID
  • Property Type
  • Single Family Home
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Dinning Room
  • 1
  • Kitchen
  • 6
  • Bedrooms
  • 5
  • Bathrooms

Stand alo kubwa kinyerezi mwisho

  • Tsh900,000

Description

STAND ALONE YA NGUVU YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 900,000/= X 6

STAND ALONE HII INA SIFA ZIFUATAZO

VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA

MASTER BEDROOM 3

SEBULE KUBWA SANA

DAININ SAFI

JIKO KUBWA

CHOO KIZURI (PUBLIC TOILET )

VYUMBA VINGINE V2 VYA NJE VYAWAGENI NA CHOO CHOO NJE

LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA, PIA KUNA TANK LITA 5000 JUU

PARKING KUBWA

FULL SECURITY

PIA KUNA SWIMMING NDANI UMO YA FENSI

PIA KUNA MABANDA YAKUFUGA KUKU NA NA MBWA PIA

BEI NI 900 000/= X 6

NYUMBA HII IPO KINYEREZI MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA KINYEREZI ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 RAMI MPKA MLANGONI INAFAA GARI YA AINA ZOTE ZINAFIKA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

PIGA SIMU 0789049684

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ilala
  • Country: Tanzania

Details

Updated on August 8, 2025 at 10:15 am
  • Property ID MR23952
  • Price Tsh900,000
  • Bedrooms 6
  • Bathrooms 5
  • Property Type Single Family Home
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1
  • Dinning Room 1

Similar Listings