Master na sebule mbezi mwisho
- Tsh120,000
Master na sebule mbezi mwisho
- Tsh120,000
Description
APARTMENT KALI INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
UMBALI KM 1 AU DKK 7 KUTOKA MBEZI MWISHO STEND
BODA 1000
KODI 120.000X4
NI CHUMBA MASTER NA SEBULE KUBWA NA SEHEMU YAKUPIKIA
UMEME MATUMIZI YAKO (SUBMITA) MAJI DAWASA YAPO BILL
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA..
PIGA SIMU 0789049684
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on August 8, 2025 at 10:29 am- Property ID MR23965
- Price Tsh120,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1