Vyumba 2 sebule Mbezi kibanda cha mkaa
- Tsh180,000
Vyumba 2 sebule Mbezi kibanda cha mkaa
- Tsh180,000
Description
APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UKARABATI
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
SEHEMU YA JIKO
PUBLIC TOILET
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA HII NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 180,000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on August 13, 2025 at 2:35 pm- Property ID MR24028
- Price Tsh180,000
- Bedrooms 2
- Bathrooms 2
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1

