Master sebule jiko kimara temboni
- Tsh200,000
Master sebule jiko kimara temboni
- Tsh200,000
Description
APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE 200K X 4
*ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.
MASTER BEDROOM KUBWA
SEBURE KUBWA
JIKO
UMEME METER YAKE
MAJI DAWASA METER YAKE NA YANAFLOW NDANI
TILES
GIPSUM
SLIDE WINDOW
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2*
BAJAJI TSH 700/=
BODA. TSH1000/=
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on November 13, 2025 at 9:45 am- Property ID MR24587
- Price Tsh200,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1

